Huwezi kupata mwanamume wa ukweli kwa sababu wewe sio mwanamke wa ukweli. Mwanamke wa ukweli hawezi wazia ujinga huu. Wewe na wa hit and run [emoji125]Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Hakuna dada ninaemuelewa kam wew,bora uuze tu
Jipe muda ,,usijiingize ktk mahusiano haraka haraka ( haraka hii matokeo ndo hayo ,,unapigwa then unakimbiwa ). Jipe muda ,value urself ..... Naujue unachokitafuta ktk mahusiano .....lkn km kila anayekuja kwako kwamgongo wakukupa faraja sababu umetemwa naww unaona akupe tu ...Basi ujiandae kupigwa na kukimbiwa.Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Ndio hapo sasa mkuu. Anahitaji ushauri sio bure.
Bora aisee mkuu.Usiwe kwanza kahaba, naomba hiyo nafasi.. Wenye mapenzi ya kweli bado tupo..
Hilo ndio la muhimu ajikubali kwanza na katika maisha hayo yapo hivyo anavyokata tamaa mapema inasikitisha sana.mkuu kwanza kabisa jikubali acha kukata tamaa kizembe watu wanalilia jinsi ulivyo we unataka kujirahisisha.
Pole sana mdada, jua kuwa kanuni ya maisha ni hii, lazima uumie kwanza ndipo umpate akupendae, yakobo aliumia kwa kutumika miaka 14 na zaidi ndipo ampate mpenzie Rachel, so hta mie na wengne wengi humu wameumia sana ila tunajipa matumaini kuwa tutapata atupendaye kwa dhati,Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume