Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Huwezi kupata mwanamume wa ukweli kwa sababu wewe sio mwanamke wa ukweli. Mwanamke wa ukweli hawezi wazia ujinga huu. Wewe na wa hit and run [emoji125]
 
Ndugu yangu, wanaume ni ngumu sana kuwaelewa

Tuliza kikojoleo hicho, Fanya maisha

invest what you are willing to lose
 
upload_2017-8-31_16-29-20.png
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Jipe muda ,,usijiingize ktk mahusiano haraka haraka ( haraka hii matokeo ndo hayo ,,unapigwa then unakimbiwa ). Jipe muda ,value urself ..... Naujue unachokitafuta ktk mahusiano .....lkn km kila anayekuja kwako kwamgongo wakukupa faraja sababu umetemwa naww unaona akupe tu ...Basi ujiandae kupigwa na kukimbiwa.
 
Sidhani kama unatambua thamani yako. Watu wote wangekuwa na mawazo kama yako dunia isingekuwa sehemu salama.

Kama huo upande huna bahati nao kuwa busy na mambo ya maendeleo
 
mkuu kwanza kabisa jikubali acha kukata tamaa kizembe watu wanalilia jinsi ulivyo we unataka kujirahisisha.
Hilo ndio la muhimu ajikubali kwanza na katika maisha hayo yapo hivyo anavyokata tamaa mapema inasikitisha sana.
 
Unaitafuta furaha kwa mwanaume? Ooh! Jithamini, jipende, jikubali kwanza. Usikate tamaa kisa tu hupati mwenza.
 
Fanya vile moyo wako unataka tunaweza kukushauri hivi ukawa unataka kufanya unavyotaka
 
Unawaza kuwa kahaba, okay sawa kuwa tu.Ila sijui unaye nataka ku mkomoa ni nani.nahisi unataka mwanaume wa kukusaidia financially siyo? Huyo ndiye ambaye umemkosa.
Hao siku hizi hawapo.sema upepo wenyewe siyo mzuri wacha upite mambo yatarejea.

Ila nakushukuru kwa kuwa wapo wenzio wameolewa wanachukulia poa.hapa unawapa somo kwamba wanaume wameadimika
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Pole sana mdada, jua kuwa kanuni ya maisha ni hii, lazima uumie kwanza ndipo umpate akupendae, yakobo aliumia kwa kutumika miaka 14 na zaidi ndipo ampate mpenzie Rachel, so hta mie na wengne wengi humu wameumia sana ila tunajipa matumaini kuwa tutapata atupendaye kwa dhati,
Cha msingi, jiheshimu binafsi pia tulia na umwombe Mola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom