Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kama ni dushee mshauri akanunue dildo, maana hivi vitot vya siku hizi vimeharibika sana
 

Kila la kheri
 
ana thread 5?? kuna shida hapo
Shida inakuja wapi ujue,, ndani ya hizo 5 amekosa hata mmoja..huko PM si nahisi kulikuwa na mafuriko??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Hili litakuwa popoma
 
..........................................

brain is the beautiful part of the body.
 
Dada yake mambo..huyu ni mwanaume kaamua tu hakunaga mwanamke was kukazania kutafuta mpenz hivyo.
 
Habari yenu wana jf
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nafurai kukamilisha kutafiti wangu

Kwa jf kuna tabia inayojitokeza eti ukitoa tangazo la kutafuta mchumba wa kike au kiume basi watakaokuja pm itaitajika nguvu kubwa ya kuwabembeleza

"Sio wanapenda kuwa hivyo bali ni mgogoro wa saikolojia kwamba ikiwa mtu anatafuta basi ana shidaa hivyo thamani yake hushuka"

Ndio maana inatokea watu hawapati watu sahiii sana mara nyingi huwapata watu wenye mawazo mafupi ambao wakitegemea wakutanapo na watafuta weza basi watajishusha na kuwa kama wehu wa kujipendekeza kwa waliotafutwa

Ushauri wangu mbadilike acheni kukwama na hiii saikolojia

Ni kama mtu aliyesoma na asiyesoma lazima watajikuta na ugovi wa saikolojia tu na nyie ndo yanaowakuta
kihuba
 
Kwa hiyo kipindi kile ulikuwa unatuchora na huo utafiti wako kuwa unatafuta Mume au ??
 
Hata sisi tulikua tunakuchora tu,yaani tukutafute wewe tusiekujua?
Au hutujui sisi wanaume?
Unadhani Mungu alikosea kuanza kutuumba?
 
Majina yote umemaliza,mara
kihuba
monabir
mara unatafutia wadada wenzio wachumba,
tunakuona tu,tunakuona tu.unavyochunguza watu wasiochunguzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…