Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu,
Natafuta mume'
Mkristo na umri wake 29-40.
Awe maji ya kunde au mweupe.
NB: Mwenye sifa tuma picha yako na namba za simu jieleze kwa ufupi kuhusu wewe tofauti na hapo sito jibu sms yoyote.
Sifa zangu nina umri wa 26;
Mcheshi
Mnene kiasi
Mwenye msimamo thabiti
Siteteleki kwa mwanaume asiejielewa
Sina mtoto na sijawai zaa
Mweusi kiasi
NB; Napenda mziki, mtunzi wa story na ninapenda kupika sana nipo shap kwa kazi za nyumbani naweza kumlea mwanaume kama mtoto.