Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Nitakuja siku ya interview ukiwa umeshaandaa majina na siku ya kutudahili
 
Daah! African girls who hate their colors.. eti mweupe/shombe shombe, kila la kheri.
Ukikosa nenda kweny bank ya sperms umalize shida yako
 
Sasa Mimi nakuja huko naku Fanya magoli tote nayapiga inje. Hupati mimba yangu ngoo
 
Uandishi wako tu ni sababu tosha ya kukosa hats wa kukusalimia, kila la kheri katika haja ya moyo wako
 
Li Freemason hilo!!
 

Sasa maneno mengi ya nini kama unamfanyia favor huyo mwanaume wakati wewe ndo una shida? mwanaume yupi mwenye akili timamu awe na mtoto ambaye hatomjua? we tafuta wale wanaokuletea maji na mikokoteni weekend...
 
Me Si Itaji Utambulisho Sana..Kama Unamjua Msanii Wa Marekani Wa Jina Langu Hilo..Tunafanana sana..
ILA kabla Sijakutumia Picha Zangu Pm..Naitaji Kuona Vipimo Vya HIV
 
Hee mbona masharti magumu sana. Ulishapata?
 
Kwa kuchoka huko ulikofikia unaweka masharti haya, je enzi hizo uliweka masharti gani????

Anyway, ni fundisho kwa wadada wanaojiona wazuri kumbe hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…