Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

haaaaa kazi kweli kweli.
 
nina vigezo vyote.. ila je una chura?? na je sio singo mazeli??
 
Kihuba,Mungu ashughulike na hitaji lako...,ufanikiwe na usahau yote uliyowahi kuyapitia!
 
Mie kwenye mbupu nina watoto kibao, sifa zote ninazo ila suala tu la mtoto wangu, nisiwe na muona hilo ni suala gumu.. hapa tayari nina kamoja lakin nishalipa kwao gharama zote na nimemchukua mwanangu naishi nae.. kuna vitu vya kukaa navyo mbali lakini sio bao langu.
 
kwa mara ya mwisho kihuba uko.serious.pm.zangu umeziona au
 
Bado unaimiliki bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…