Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde,
dini yake kristo ila RC watachukulwa kipao mbele hasa akiwa na mjasiliamali
Awe na uwezo wa kujitambua na kutambua majukumu yake ya familia.

Sifa zangu ni binti wa miaka 27 mpole,mcheshi na Mwenye msimamo thabiti,furaha yangu ni upendo na amani katika maisha yangu pia ni mpenzi wa biashara[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Ntajibu pm30 za mwanzo tu karibuni wakui
Picha. Urefu mimi ni ft 5 na nch 8, sijui kama hiki kipengele nimefuzu.
 
*unakuta mdada anasema yuko single hafu anatumia vidonge vya majira, au vijit sa sijui anajikinga na mvua au jua*??????[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaaaa![emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde,
dini yake kristo ila RC watachukulwa kipao mbele hasa akiwa na mjasiliamali
Awe na uwezo wa kujitambua na kutambua majukumu yake ya familia.

Sifa zangu ni binti wa miaka 27 mpole,mcheshi na Mwenye msimamo thabiti,furaha yangu ni upendo na amani katika maisha yangu pia ni mpenzi wa biashara[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Ntajibu pm30 za mwanzo tu karibuni wakui
Njoo tuongee kama upo serious
 
Dah! Sifa zote ninazo ila hicho kifua cha haja!!!!
Nimekosa mke tena!!! Ngoja nivute subira kidogo.
 
Back
Top Bottom