Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha. Urefu mimi ni ft 5 na nch 8, sijui kama hiki kipengele nimefuzu.Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde,
dini yake kristo ila RC watachukulwa kipao mbele hasa akiwa na mjasiliamali
Awe na uwezo wa kujitambua na kutambua majukumu yake ya familia.
Sifa zangu ni binti wa miaka 27 mpole,mcheshi na Mwenye msimamo thabiti,furaha yangu ni upendo na amani katika maisha yangu pia ni mpenzi wa biashara[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ntajibu pm30 za mwanzo tu karibuni wakui
Teh[emoji12] [emoji12] [emoji12]kihuba are you serious mbona hujibu pm yangu na ndio ya kwanza kabisa
Noma sana[emoji23][emoji23][emoji23]Nafurahaa ya dhati kupata mwanaume mashine na mwenye mapenzi ya dhati
Hii hapo juu inaonyesha huyu binti alishapata Mume..... jamani acheni kujisumbua..... kama hivyo basi atakuwa n changudoa..
Hahahaaaa![emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]*unakuta mdada anasema yuko single hafu anatumia vidonge vya majira, au vijit sa sijui anajikinga na mvua au jua*??????[emoji16][emoji16][emoji16]
Haaha haaahHiii nihatari sana mkuu.
Njoo tuongee kama upo seriousMwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde,
dini yake kristo ila RC watachukulwa kipao mbele hasa akiwa na mjasiliamali
Awe na uwezo wa kujitambua na kutambua majukumu yake ya familia.
Sifa zangu ni binti wa miaka 27 mpole,mcheshi na Mwenye msimamo thabiti,furaha yangu ni upendo na amani katika maisha yangu pia ni mpenzi wa biashara[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ntajibu pm30 za mwanzo tu karibuni wakui
Umeona eee? Chema chajiuza kibaya chajitembezaWatafuta wachumba wa siku hizi Majanga
Ukisoma maelezo yenyewe utashangaa na kujiuliza je yeye ana sifa zipi nakama ana sifa zote hizo kwanini yupo Single mpaka sasaUmeona eee? Chema chajiuza kibaya chajitembeza
Hahaaaaa...mwanangu umeuaaaa*unakuta mdada anasema yuko single hafu anatumia vidonge vya majira, au vijit sa sijui anajikinga na mvua au jua*??????[emoji16][emoji16][emoji16]
Dah ..kifua ntakuazima...nawew niazime maji ya kunde mkuuDah! Sifa zote ninazo ila hicho kifua cha haja!!!!
Nimekosa mke tena!!! Ngoja nivute subira kidogo.