haaaaa kazi kweli kweli.Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde,
dini yake kristo ila RC watachukulwa kipao mbele hasa akiwa na mjasiliamali
Awe na uwezo wa kujitambua na kutambua majukumu yake ya familia.
Sifa zangu ni binti wa miaka 27 mpole,mcheshi na Mwenye msimamo thabiti,furaha yangu ni upendo na amani katika maisha yangu pia ni mpenzi wa biashara[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ntajibu pm30 za mwanzo tu karibuni wakui