Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kuna kitu kwako hakipo sawa. Siwezi kusema we ni mbaya maana tulifundishwa hakuna binadamu mbaya wote ni wazuri. Na siwezi sema labda we ni malaya. Kati ya hivyo viwili kimojawapo au vyote kitakuwa kinakuhusu.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] duuh hii CV hatari sana
 
Cv yako haijakamilika
1. Hujataja virgin (bikira) au ulishatumika a.k.a mtumba
2. Unatama mme mwenye kifua. Je kipi cha gym au cha kuhifadhi maneno
3. Je skin orginal au chinese
4. Je unamheshimu Mungu?
Nb we google tu
 

weka picha kwanza
 
Kazi yangu ni kufinya na kuacha kwanza miaka 27 ushakua bibi how many furcation umefanya kwendaaaaa i know it's uncountable
 
Kwa unyambulishaji wako makini namna hii mkuu,sioni haja ya kuendelea na safari kabisa mkuu.
 
Ukute ni mwanaume anatumia I'd ya kike tu
 
[emoji8]
 
Upo tayari kumzalia watoto wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…