Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Dah! ama kweli atafutaye hachoki. Kihuba thread ya ngapi hii?
 
Una chura?
 
Uko na 27 eeh alafu unasema utajibu first 30 messages as if ni nafasi ya ajira umetangaza[emoji23] [emoji23]

Hivi ungekua marketable kiasi hicho ungefikisha 27 at home?

Chanzo cha wewe kufika 27 bila kuelewa ni kwa sababu You think you're beautiful and valuable such that most of men would compete for you.

Hayo ni marupurupu subiri gharika inakuja, at 30 utasema unajibu first 1000 messages[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata wenzio walikua wanaringa hivyo hivyo siku ya siku wakasema wanahitaji mwanaume yeyote
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]noma sana mzee baba
 
Mleta tangazo it seems wewe mwenyewe hujitambui...utatifuliwa sana zivu na wakware tu...maana hakuna namna
 
Hizo sifa zote zitafute..... Ila ukifika 30's sifa itabaki moja tu unayoitafuta kwa mwanamume..... "Awe anavaa suruali"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…