Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hahaaaa ama kweli kaamulia JF, pamoja na kukazia kwa kila hzi bado hakuna aliejitokeza

Watu kibao wapo mtaani tena wengine wana ugwadu wakutosha tu apambane na wamtaa kwanza
 
Sasa utajuaje kama mashine yake imenyooka au imepinda? Mtaonjana kwanza ndio mfunge ndoa?
 
Atarukwa roho na mangapi?
Yeye angetafuta kupendwa tu bwana. Pesa, majumba na Magari hayawezi chukua nafasi ya kupendwa, vijana wa siku hizi wanakosea sana.

Sie tunazeeshana taratibu kwa raha zetu.
Hehehehehe...endelea kumrusha mwenzio roho tu alfajit yote hii
 
Atarukwa roho na mangapi?
Yeye angetafuta kupendwa tu bwana. Pesa, majumba na Magari hayawezi chukua nafasi ya kupendwa, vijana wa siku hizi wanakosea sana.

Sie tunazeeshana taratibu kwa raha zetu.
Naww unajiona mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…