Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Umesema mashine unayoitaka ila hujaelezea mashine yako ikoje, Mf; ni bwawa au kisima na millage zake, pia naomba utueleze kama umewahi kupigwa mtungo ama la!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit


Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm
Lol hii kali ina maana utakuwa unakagua mashine kwanza [emoji13] [emoji12]
 
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit


Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm

Ha ha haaa!!! kwani iliyopinda ina shida gani?
 
Inaonekana ulishakutana na kadhia ya ukuni uliopinda [emoji3]
 
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit


Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm
Machine zote zimepanda kwa taarifa yako
 
aiseeee, hii biashara imeshamiri humu,,,

ogopa mwanamke anayetafuta,,,

mara nyingi hawana mvuto,,

yaan [emoji16]
 
Mwanaume ndio anayeamua lini na wapi ataoa mwanamke anaweka tu miundo mbinu ya kuvutia ili aolewe ila hana uamuzi wa lini aolewe ingawaje anaweza pendekeza aolewe na mwanaume wa namna gani
 
Duuh..mm nina sifa zote isipokuwa mashine ...nina kamashine kadogo ila kamenyooka, vp nitahitahika?
 
AYA YA SIKU

Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.

Maombolezo 3:40
 
kazi kwelikweli.


  1. Bado nafasi ya mwanaume anae taka mke ipo
    Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya...
    Thread by: kihuba, Yesterday at 11:47 PM, 11 replies, in forum: Love Connect

  2. Thread
    Natafuta mchumba wa kiume
    Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde, dini yake kristo ila...
    Thread by: kihuba, Tuesday at 12:08 PM, 97 replies, in forum: Love Connect

  3. Thread
    Kumbe tatizo nyota ndomaana sipati wa kuendana nae kimapenzi
    Watu wenye nyota hii wanakuwa ni watu wenye aibu sana kwa wapenzi wao lakini aibu ikishawaondoka huwa ni wapenzi wa kutisha, kwa maana ya kwamba...
    Thread by: kihuba, Oct 16, 2017, 16 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  4. Thread
    Wanaotafuta wachumba mtandaoni sio kwasababu hawana vigezo
    Habari yenu wana jf Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nafurai kukamilisha kutafiti wangu Kwa jf kuna tabia inayojitokeza eti ukitoa tangazo la kutafuta mchumba...
    Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 9 replies, in forum: Love Connect

  5. Thread
    Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi
    : •Sex; yaani Ngono; Sex inapokua mapema ni kama kulisha kuku wa kisasa. Inafanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye...
    Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 85 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  6. Thread
    Ninahamu ya kuwa na mchumba sana sana
    Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu, Natafuta mume' Mkristo na umri wake 29-40. Awe maji ya kunde au mweupe. NB: Mwenye sifa tuma picha...
    Thread by: kihuba, Sep 12, 2017, 76 replies, in forum: Love Connect

  7. Thread
    Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?
    Wana JF, Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa. Nimechoka sasa wacha nitulie tu...
    Thread by: kihuba, Sep 5, 2017, 171 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  8. Thread
    Nafurahaa ya dhati kupata mwanaume mashine na mwenye mapenzi ya dhati
    Habari zenu wana jf wakuu Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani...
    Thread by: kihuba, Sep 4, 2017, 109 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  9. Thread
    Bora kuwa malaya tu
    Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
    Thread by: kihuba, Aug 31, 2017, 216 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  10. Thread
    Natafuta mwanaume wa kuniliwaza basi
    Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha...
    Thread by: kihuba, Aug 22, 2017, 110 replies, in forum: Love Connect

  11. Thread
    Bado nasaka mchumba
    Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Aug 16, 2017, 14 replies, in forum: Love Connect

  12. Thread
    Mwanaume anaehitaji mke karibu
    Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Aug 14, 2017, 161 replies, in forum: Love Connect

  13. Thread
    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
    Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na sitaki...
    Thread by: kihuba, Aug 11, 2017, 249 replies, in forum: Love Connect

  14. Thread
    Natafuta mchumba, Mungu akitujalia ndoa
    Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Jul 30, 2017, 474 replies, in forum: Love Connect
Kaburi la halaiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom