Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Pole mwaya
Siku zote zijunze kuamini kuwa kila jambo linawezekana.
Kulalamika na kulaumu haisaidii, ifike mahali umuombe Mungu wako, mueleze hitaji lako mama... Amini yuko wako mahali ni muda tuu haujafika!!!
Ushauri wa kuushika ni huu unajua Mungu hachoki kuombwa bali anafurahi mja wake kumuomba rudi kwake tu utafanikiwa kwan uko mji gan ww
 
Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Maandiko yanasema mke mwema anatoka kwa BWANA, naamini hata mume mwema anatoka kwa BWANA. Mpelekee Mungu dua zako naye atakupa haja za moyo wako.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…