theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Hata aliekutoa bikra kakukataa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata wewe umemnotice huyu dada ana shida sananilivyoona title tu nikajua lazima atakuwa kihuba
Mume mwema hutoka kwa Mungu tulia muombe Mungu saa ya Bwana ikifika atakupa Mume mwema wakati unaomba pia kumbuka kujiposition kama mwanadada anayetafuta mume.Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
True ana thread kama 5+ za kutafuta Mume ila cha ajabu hadi leo hajapata... Kuna tatizo mahali inabidi aliseme na awe muwazi (asaidiwe)la sivyo kila siku atajilaumuMkuu hata wewe umemnotice huyu dada ana shida sana
NdiyoKwani kuna muda maalumu wa kupata mume?
Vipi ganja tayari? Wanaume wote sisi tupo. Hututaki. Kama uko seriously njoo pm.Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Umemshauri VyemaPole mwaya
Siku zote zijunze kuamini kuwa kila jambo linawezekana.
Kulalamika na kulaumu haisaidii, ifike mahali umuombe Mungu wako, mueleze hitaji lako mama... Amini yuko wako mahali ni muda tuu haujafika!!!
Ni upi?Ndiyo
ushauri mzuriKutokana na maandiko ya Qur'an " hakika ya kila binadam anaijua nafsi yake" basi bila ya shaka unalijua ttz liko wapi solve ttz utapata mume.
04/9/2017 ulisema umepata mume vpNajisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Usihofu. Hata mimi nilikuwa nalia kama wewe ila sasa nimempata wangu tangu 16/12/2017.Usikate tamaa mwaya!Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke