Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mkuu hata wewe umemnotice huyu dada ana shida sana
True ana thread kama 5+ za kutafuta Mume ila cha ajabu hadi leo hajapata... Kuna tatizo mahali inabidi aliseme na awe muwazi (asaidiwe)la sivyo kila siku atajilaumu
 
Pole mwaya
Siku zote zijunze kuamini kuwa kila jambo linawezekana.
Kulalamika na kulaumu haisaidii, ifike mahali umuombe Mungu wako, mueleze hitaji lako mama... Amini yuko wako mahali ni muda tuu haujafika!!!
Umemshauri Vyema
 
Usikate tamaa, Muombe Mungu kwa bidii muda wako ukifika Mungu atakupa haja ya moyo wako.
 
Utakuwa huna chura dada sema waume wako uko mtaani kwako wabeba zege, bodaboda nk acha kuchagua.
 
Mume mwema mtu hupewa na Bwana
Uwe na subira usije pata kama yule aliye ua familia kwa wivu wa mapenzi
Mungu atakuchagulia
 
Back
Top Bottom