Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...


Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..


Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..




NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..
 
Wewe upoje kwanza! hebu weka sifa na tabia zako kwanza tuone kama unafaa ama laa.
 
Mbona we mwenyewe hujui kuandika?!
 
Mbona kama mbabe
 
pier konki atakufaa dada,huta juta,unaendana nae kila kitu,,
,,,,mpigie 0610 878901
 
Vipi Uliachana na Adam??


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…