Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...

Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..

Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..

NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..
Anatafuta Kama Ana-order Bidhaa Kutoka China
 
Masharti kibao halafu bado kuna kazi ya kutongozana tena. Sasa utongozwe wakati unajua kabisa kafuata nini kwako ni milango umefungua mwenyewe.
 
Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...

Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..

Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..

NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..
Mali ya umma hii mkuu...
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....

Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Mimi ni mfupi mweusi Nina kitambi kwa karibu nafanana na kingwendu au konki ila USA dola ndio hela nashika huu mwaka wa sita sasa vp uko tayari kuwa mke
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....

Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Vigezo vingi kenge maji ww

Hv ww una takoooooooooo?????
 
Mim nadhani upendo wa dhati ungeanza mengine yafuatie

All the best
Mie kwenye umriiiii apooo
 
Back
Top Bottom