Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sio wote dada!Waume za watu tu ndio wamejaa humu
Ni kama wanaume wanavyojiaminisha wote sie wake za watu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote dada!Waume za watu tu ndio wamejaa humu
Akiri ni mdudu gani na anapatikana dunia gani?
Tuanzie hapo kwanza.
Shida ya wanawake wanaotafuta wanaumie kupitia hizi social media huwa hawajiamini alafu wametumika sanaaaaa, huwa wanapretend dini nyingi wakati nyumba za Ibada wameanza kuzijua juzi..Mbona kama mbabe
Nitafutie basi mchumba na mie [emoji13][emoji13]Sio wote dada!
Ni kama wanaume wanavyojiaminisha wote sie wake za watu!
Nahitaji mke wa 2 uko tayari?Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Kwa hali hiyo wataendelea kukuzalisha nyumbani . Angalia akili na moyo hivo vingine achana navyo [emoji120]Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Hahaha hahahaNitafutie basi mchumba na mie [emoji13][emoji13]
Mi nahisi akitaka kuchati huwa anaposti hizzi threads zke, huenda kuna watu anawapiga pesa sio bure aisehNimepitia Threads zako , Dada yangu una matatizo
Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?
Wana JF, Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa. Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea. Sitaki mwanaume kuanzia sasawww.jamiiforums.com
Kutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
HahahahahahaNitafutie basi mchumba na mie [emoji13][emoji13]
Muone kwanzaHahaha hahaha hahaha hahaha
Nataka aje anisaidie kukutafutia wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone kwanza
Mbona umefurahi mkuuHahahahahaha