Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Najua huwa hampendi! Tunawaombea ipo siku mtabadilika[emoji23][emoji23][emoji23]Inatokea Tu Si Kama Tunapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua huwa hampendi! Tunawaombea ipo siku mtabadilika[emoji23][emoji23][emoji23]Inatokea Tu Si Kama Tunapenda
Ngoja niweke bango na mieNdiwooo ..
Wapo weeengi mno! Mleta mada hayuko serious tuu
Wala usiweke bango mdogo wanguu! Utakutana nao huko majukwaaniiiNgoja niweke bango na mie
Hahahah sasa majukwaani tutashindwa kufungukianaWala usiweke bango mdogo wanguu! Utakutana nao huko majukwaaniii
Taratibu tuu mtazoeeana!Hahahah sasa majukwaani tutashindwa kufungukiana
Kutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
[emoji23]Na pia anataka tena kutongozwa..watu wengine vichwa vyao sijui vina matatizo gani
mimi nina sifa hizo karibu zote.ila wewe ukoje? .maana napenda weupe wa asili..flar screen pita mbali..msomi wa angalau chuo kikuu na mwenye kazi inayomlipa si chini ya m2 kwa mwezi.awe hajawahi kuzaa.awe na angalu na vits namba D.Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Married but available.
Kuandika hujui. Nani anataka mwanamke mwehu kama wewe?Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Dada una majibu ya kunya hivi?Ndio Kama la Mama yako
hahahhaKutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Duh.! Kumbe ni wa sku nyingi watu wanagonga wanasepa!
Mkuu kuna vigezo fulani fulani mtu huwa anakuwa navyo kutokana na umri wake.Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...
Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..
Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..
Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti...www.jamiiforums.com
NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..