Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Ila nimemtafakari mleta mada nimemuhurumia, mnamshambulia bure mwenzenu bado yupo zama za mtandao wa mwaka 1998 wa marafiki.com.

Muelekezeni sehemu sahihi ya kuenda ikiwezekana hata aende Badoo huko akakutane na makonki wamchape matukio.
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....


Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
mimi nina sifa hizo karibu zote.ila wewe ukoje? .maana napenda weupe wa asili..flar screen pita mbali..msomi wa angalau chuo kikuu na mwenye kazi inayomlipa si chini ya m2 kwa mwezi.awe hajawahi kuzaa.awe na angalu na vits namba D.

kama unakidhi hivyo vigezo ni pm
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....


Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Kuandika hujui. Nani anataka mwanamke mwehu kama wewe?
 
Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...


Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..


Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..




NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..
Mkuu kuna vigezo fulani fulani mtu huwa anakuwa navyo kutokana na umri wake.
Kwa mantiki hiyo mtoa mada anaonekana bado damu inachemka hivyo yupo kwenye kundi la ujana ambalo mara nyingi huwa ni kundi lenye mbwembwe nyingi
 
Huyu hapa
IMG-20190516-WA0037.jpeg
 
Back
Top Bottom