jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Nipo mimi nina sifa zote!!!! Nakuja pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni leoTarehe ya usaili nijulishe nije kuwa mtazamaji tu sins kigezo hata kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
umeonaDuh ushakata tamaa, tatizo mnaweka vigezo kiasi kwamba mnamsaidia Mungu wasaidizi wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huko mtaani kwenu hawataki kuzaa naww ujue una matatizosawa
UmeshavulugwaMoja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5
Baada ya hapo mahusiano yafe.
mtoto ntamlea mwenyewe.
Sitaki kufatiliana kwa lolote
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako ntakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako
Narudia sitaki maneno mengi pm
sms ya kwanza andika nazalisha
ya pili tuma picha
ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae
PM IPO WAZI
Wako yupo tu,umeona
Hata applicationa y kuomba kaz ikulu haiwezi kua n CV y aina hiyooo aiseeeMoja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5
Baada ya hapo mahusiano yafe.
mtoto ntamlea mwenyewe.
Sitaki kufatiliana kwa lolote
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako ntakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako
Narudia sitaki maneno mengi pm
sms ya kwanza andika nazalisha
ya pili tuma picha
ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae
PM IPO WAZI