Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,297
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5
Baada ya hapo mahusiano yafe.
mtoto ntamlea mwenyewe.
Sitaki kufatiliana kwa lolote
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako ntakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako
Narudia sitaki maneno mengi pm
sms ya kwanza andika nazalisha
ya pili tuma picha
ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae
PM IPO WAZI
Kwa lipi sasa?? Yaani wewe unadhani kwanini watu wanashida ya kuzaa na wewe? wewe una vigezo gani? kama hata kupata mchumba tu umeshindwa?
Weka vigezo vyako tuone kama kuna haja hata ya kuja huko PM, maana kukosa mchumba kabisa laweza kuwa tatizo, ikiwezekana wewe pia weka picha...