Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mm nafikiri usihangaike hapa jf ww nenda waliko najua unafahamu wanapatokana wapi tofauti na hapo unataka kumuibia mtu hapa wallet yake tu.
Na hauna jipya jingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani siku upate hitajilo , tatzo Mentality yako inadhani wanaume ni malimbukeni sana kwenu( unaweka mashart ambayo hawo wenye sifa hizo wakikutathimini wanagundua kuwa ww ndio huna sifa au hufanan na sifa za zao) . Ndio maana unalazimisha .unashindwa kujifikiria mwenyewe kwanini hawatokei?
Je mtaani kwenu vidume vya aina gan vinakusumbua na kama havikusumbui kwanini? Anzia hapo ili ujue unahitaji mtu wa aina gan kulingana na idad kubwa ya wanaokufuata Mara kwa mara

Nnacho kushaur MTU yyte akikupenda mtathimini base kwnye suala zima LA mwenendo wake sana kuliko appearance ..
Rizik mantashaa mama . NDEGE WAFANANAO MANYOYA NDIO WANARUKA PAMOJA....... PAMBANA NA SPECS ZAKO

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
Akamuulize kwanza kama baba yake ana sifa hizo ndio aje humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.
Bora tu umekosa huyo mchumba...

Kwa kiburi na jeuri uliyonayo ungemtoa roho mchana peupe...

Pole mama,pambana na hali yako.
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
Hata wakuzaa naye hutampata,unaongea kama binti aliyekulia stand! Come down
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
Weka pc tukuone kama nawe uko na sifa Za kutosha.
 
Siku zote huwa naamini na daima nitaamini kuwa ikifika 28 yrs Dada hujaolewa jipime tena uwe mrembooooo alafu huna mume ni balaaaaa.
Kama sio tabia ya dharau, kibri majivuno, papuchi mbovu basi kuna namna maana wanaume wote tunapenda wanawake warembo ila huwa tunashindwana tabia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuzalishi hovyo...maana hata Mtoto nasi tunataka tukae naye. Njoo pm ww tuzungumze
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
Pole sana ni hatari. Ndo sababu kubwa ya wewe kukosa wa kukuowa...
Sasa umefikia..
Point of no return...

Apple i
 
Back
Top Bottom