Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kazi ipo... Hebu jaribu kutulia kidogo kabla hujajiweka sokoni
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
 
Back
Top Bottom