Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Binti yangu tulia,

Tatizo naloliona ni moja tuuu.
Mmezidi kuwa na vigezo sawa. Yaani ukifuatilia vigezo ambavyo mnaotafuta wachumba wooote mnafanana.
Hiki kitawafanya muwe na kompitisheni kubwa

Cha msingi tafuta vigezo vya mwanaume vya kipekeee, halafu viwe vichache, vingine utavilekebisha wewe, wanawake ndio mnaoweza kumfanya mwanaume aweje,
Sasa tatizo nyie mnamtafuta mtu ambaye alishatengenezwa tayari. Tafuta yule mwenye kigezo kimoja tuu cha kuanza nacho, vingine utavitengeneza wewe kwa nguvu uliyopewa na Mungu
 
Mueleweni mwezenu ukahaba upo wa aina mbili.kuna wale wanajipanga barabarani na wale wapo hata maofisin na kwenye baishara, kama unavyojua mwanamke kariba kila siku anatongozwa,sasa yeye yuko aina ya pili kwamba kila anayemtongoza amkubalie hataki mambo ya stress ya kuumizana analiwa anaondoka zake
 
Upendo wa kweli upo kwa Yesu pekee. Jikubali jinsi ulivyo, na ujikabidhi kwa Mungu. Utapata furaha.
 
unatamanije kuwa kahaba? ndugu yangu unaumri gani na elimu yako kazi yako jee? vinatosha kukufariji ukivuta muda mzuri kwako atatokea tuu.ukahaba haupendezi kwanza hata nafsini tu.ukiona hatokei chukua nafasi zaa mtoto wako nahakika atakuelekeza namna ya kuishi kuliko ukiwa bila mtoto na upweke.ukizaa utajipenda na kujitunza kwa dhamana ya ulezi wa mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
azae na nani sasa? NAULIZA tu mie
 
Ila kuna watu mnashangaza ina maana furaha yako ipo kwa mwanaume? Hebu kua busy na kutafuta hela na maendeleo utampata mwanaume unaemtaka...hao wanaume wenyewe.... siku hizi wanapenda kulelewa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna watu mnashangaza ina maana furaha yako ipo kwa mwanaume? Hebu kua busy na kutafuta hela na maendeleo utampata mwanaume unaemtaka...hao wanaume wenyewe.... siku hizi wanapenda kulelewa....

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua kuwa lonely ni ugonjwa mkubwa
iyo principle ya money can buy happynes
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Pole sana. Vuta subira utapata tu.
Umenifanya nihudhunike sana.
 
Uwe kahaba ili iweje!? Unamkomoa nani, WANAUME!? Unajua kuhusu magonjwa ya kutisha ikiwemo mawayawaya!? Ole wako!

Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
 
Je wewe ni mkweli?
Je ukahaba ndio litakuwa suluhisho la matatizo yako?
Jipe muda usikurupuke. Ukiwa cha wote unahisi ndio utapata furaha ya moyo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom