ibraton
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 353
- 185
MI NILIJUAGA masikhara asee haya mambo........past two weeks nilikutana na bint mmoja hvi katika fukwe moja huku upande wa kigamboni.........tukakaa nkamkaribisha vinywaji tukanywa kwa mda mrefu tu......badae kinywaji kilivokolea tukakubaliana akalale kwangu..............................huez amin yule bint analalamika kama ww anataman nimuoe au hata kama mi cwez basi kama nna rafiki yangu ambaye yupo loose nimpe amechoka kuwa mpweke.....POLE SANA JIFUNZE KUMPA MWANAUME KILA KITU HUWA TUNAPAGAWAGA SISI.Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke