Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habari zenu wadau

Naimani mu wazima wa afya,nimejitokeza tena kuwapa nafasi wale ambao wanataka kuoa mwaka 2018,sifa awe na rangi ya maji ya kunde au mweupe mrefu na mwili wa haja, umri 29--- christian RC atachukuliwa kipao mbele

Sitaki awe na mali nyingi mali ntatafuta nae mimi moja mpaka mia awe mjasiliamali,pombe,sigara asitumie

Ntampa mapenzi ya dhati kama akiwa na sifa za kiume zote.

Sifa zangu mpole mwenye mapenzi ya dhati nikipenda nimependa ila kinyume na hapo mwepesi kuchukua maamudhi ya kuto kuludi nyuma kwa mtu mludiaji wa kosa nina msimamo thabiti pia

sio utani mwenye nia aje pm ukija kimasiara ntakupuuuza
Ukishusha miaka unicheki pm
 
Umeusha kuwa kiporo nani akuoe wewe..! Tulia utafute mgane ukamalizie uzee wako huko...!
 
Toa na we sifa zako km zinakidhi masharti na vigezo!sio unachagua mwanaume unaemtaka asie na kasoro wakati we uko binadam wa kale.
Sisi vidume ndio umeona wa kuoa demu libovu ila nyie mchague mzuri mnaetaka shubamiiitt hata si tunataka vizuri hata km wabaya
 
Haya matangazo nashauri muwe mnaweka na picha zenu, siyo mnaleta story nyingi mnawapa vijana kazi ya kuanza kuingia huko PM.

Mwanamke anayejiamini anajiachia tu! Kutokana na mambo yalivyo sasa ni ngumu sana mtu mwenye uhitaji kuja huko pm maana yawezekana mkawa mawindoni kusaka tarakimu za raia humu.

Bon voyage..., utampata tu kwenye muda sahihi!!
 
Back
Top Bottom