Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi

Nina msimamo thabiti

Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!

Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati

Awe ana utu daimaaa


Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm

Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema

Sijui ni kwanini 99.99999% ya Mabinti au Wanawake wanaotafuta Wapenzi wa Kiume Mitandaoni huwa ni ' magari ya mkaa ' tupu!
 
Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi

Nina msimamo thabiti

Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!

Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati

Awe ana utu daimaaa


Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm

Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
Wee toa namba waoaji tupo. Wee una wasiwasi gani?
 
Nilihisi nimepata mke sasa, duh!

Vigezo vyote ninavyo ila hicho cha mjasiliamali kimenikosesha mke.
Ngoja nianzishe biashara ili niwe nakaba baadhi ya vikwazo.

Ngoja niendelee kuvumilia.
 
Kule nilikwambia kuwa nikiambiwa wewe ni form 4 sitakubali.......

Nachelea kusema umedanganya elimu kwa mara nyingine.
 
Mimi hapa chaguo lako kutoka kwa Mungu,namuomba Mungu akuongoze uje PM.
 
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit


Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm

Kihuba!
Ushampata au bado unamsaka? Tatizo lenu wasichana mnawapenda sana wanaume waongo kuliko wakweli.
 
kazi kwelikweli.


  1. Bado nafasi ya mwanaume anae taka mke ipo
    Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya...
    Thread by: kihuba, Yesterday at 11:47 PM, 11 replies, in forum: Love Connect

  2. Thread
    Natafuta mchumba wa kiume
    Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde, dini yake kristo ila...
    Thread by: kihuba, Tuesday at 12:08 PM, 97 replies, in forum: Love Connect

  3. Thread
    Kumbe tatizo nyota ndomaana sipati wa kuendana nae kimapenzi
    Watu wenye nyota hii wanakuwa ni watu wenye aibu sana kwa wapenzi wao lakini aibu ikishawaondoka huwa ni wapenzi wa kutisha, kwa maana ya kwamba...
    Thread by: kihuba, Oct 16, 2017, 16 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  4. Thread
    Wanaotafuta wachumba mtandaoni sio kwasababu hawana vigezo
    Habari yenu wana jf Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nafurai kukamilisha kutafiti wangu Kwa jf kuna tabia inayojitokeza eti ukitoa tangazo la kutafuta mchumba...
    Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 9 replies, in forum: Love Connect

  5. Thread
    Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi
    : •Sex; yaani Ngono; Sex inapokua mapema ni kama kulisha kuku wa kisasa. Inafanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye...
    Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 85 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  6. Thread
    Ninahamu ya kuwa na mchumba sana sana
    Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu, Natafuta mume' Mkristo na umri wake 29-40. Awe maji ya kunde au mweupe. NB: Mwenye sifa tuma picha...
    Thread by: kihuba, Sep 12, 2017, 76 replies, in forum: Love Connect

  7. Thread
    Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?
    Wana JF, Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa. Nimechoka sasa wacha nitulie tu...
    Thread by: kihuba, Sep 5, 2017, 171 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  8. Thread
    Nafurahaa ya dhati kupata mwanaume mashine na mwenye mapenzi ya dhati
    Habari zenu wana jf wakuu Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani...
    Thread by: kihuba, Sep 4, 2017, 109 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  9. Thread
    Bora kuwa malaya tu
    Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
    Thread by: kihuba, Aug 31, 2017, 216 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  10. Thread
    Natafuta mwanaume wa kuniliwaza basi
    Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha...
    Thread by: kihuba, Aug 22, 2017, 110 replies, in forum: Love Connect

  11. Thread
    Bado nasaka mchumba
    Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Aug 16, 2017, 14 replies, in forum: Love Connect

  12. Thread
    Mwanaume anaehitaji mke karibu
    Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Aug 14, 2017, 161 replies, in forum: Love Connect

  13. Thread
    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
    Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na sitaki...
    Thread by: kihuba, Aug 11, 2017, 249 replies, in forum: Love Connect

  14. Thread
    Natafuta mchumba, Mungu akitujalia ndoa
    Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote...
    Thread by: kihuba, Jul 30, 2017, 474 replies, in forum: Love Connect
Mkuu unafaa kuwa CIA. Kumbe anatuzingua tu eeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni Pm ila ntaanza kwa kukuajili kwanza nione performance yako kiuchumi ktk ofc yangu..baada ya kukuangalia utaniruhusu nimuweke mama yoyoo kando kdgo ili tujinafasi..baada ya hapo ndoa tu..
 
Back
Top Bottom