getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
Ni uamuzi mzuri lakini siku ukija kupata mke utajilaumu sana kila ukimuona huyo mtoto! Sio wanawake wengi wana moyo wa kulea mtoto wa nje ya ndoa!Kama hali ndio hiyo atafute sehemu aharibu then maisha yasonge. hayo ndio maamuzi niliyoamua mimi baada ya kuona hili zoezi limekuwa gumu.