Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi

Nina msimamo thabiti

Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!

Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati

Awe ana utu daimaaa

Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm

Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
 
mungu akuongoze katika chaguzi yako maana watakuja wengi ila umesema unahitaji mmoja...kila la kheri, kumbuka tu katika msafara wa mamba na kenge pia wamo, hii ahadi ya kuoa na kuolewa wengi wameliwa kisela...bless
 
Ngoja waje wanaopenda wanawake wapiga mikwara!
Mi mfupi, nikikaa kwa kistuli, miguu inaelea! Nikiangusha smartphone haivunjiki!
 
Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi

Nina msimamo thabiti

Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!

Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati

Awe ana utu daimaaa

Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm

Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
Nasifa zote ulzo zitaja ila nahofia umaskini nilionao duuu!!!umaskini noma Sana Kama uta mind poa.
 
Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi

Nina msimamo thabiti

Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!

Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati

Awe ana utu daimaaa

Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm

Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema

Harafu sio kwasababu nimetangaza ndo ukija pm unaanza pozi nikutongoze ngumu naitaji mwanaume alie kamilika.
 
Back
Top Bottom