Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kama hali ndio hiyo atafute sehemu aharibu then maisha yasonge. hayo ndio maamuzi niliyoamua mimi baada ya kuona hili zoezi limekuwa gumu.
Ni uamuzi mzuri lakini siku ukija kupata mke utajilaumu sana kila ukimuona huyo mtoto! Sio wanawake wengi wana moyo wa kulea mtoto wa nje ya ndoa!
 
Bado kidogo endelea kuchagua .... Lakini kaa ukijua wanaume Wote sisi ni Ndg [emoji23][emoji23][emoji23] ukimushindwa mmoja ujue wote hutawaweza
 
Jichunguze tabia zako huenda upo serious sana au unamaringo,hujui kucheka na wanaume.Nakushauri punguza kuwa serious saana utaona mabadiliko.
 
Kwa sababu we hujatulia,unatafuta pesa kuliko mume,unafanya mapenz kama kitega uchumi
 
Daaahhh.....kweli nimeamin idadi ya wadada wanaotaka kuolewa ni kubwa mno, kuliko idadi ya waoaji wanaotaka kuoa
 
Back
Top Bottom