Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Tatizo umesema rangi maji ya kunde, Mimi ni mjaruo mweusi tiiiiiiiiiiiiiiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So nikija pm siruhusiwi kuweka mtongozo wangu?Harafu sio kwasababu nimetangaza ndo ukija pm unaanza pozi nikutongoze ngumu naitaji mwanaume alie kamilika.
Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi
Nina msimamo thabiti
Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!
Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati
Awe ana utu daimaaa
Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm
Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
Wee toa namba waoaji tupo. Wee una wasiwasi gani?Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi
Nina msimamo thabiti
Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!
Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati
Awe ana utu daimaaa
Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm
Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
Punguza mikwara mkuu.[emoji2] [emoji1]Harafu sio kwasababu nimetangaza ndo ukija pm unaanza pozi nikutongoze ngumu naitaji mwanaume alie kamilika.
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit
Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm
Na hapo inawezekana ndipo bahati zinampitiaila wewe kihuba tatizo hujibu pm, watu wenye nia wanalalamika hivyo
Mkuu unafaa kuwa CIA. Kumbe anatuzingua tu eeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kwelikweli.
- Bado nafasi ya mwanaume anae taka mke ipo
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya...
Thread by: kihuba, Yesterday at 11:47 PM, 11 replies, in forum: Love Connect
Thread
Natafuta mchumba wa kiume
Mwenye mapenzi ya dhati anaitajika urefu futi 5 asiwe mwembamb wala mnne awe na kifua cha aja rangi yake awe maji ya kunde, dini yake kristo ila...
Thread by: kihuba, Tuesday at 12:08 PM, 97 replies, in forum: Love Connect
Thread
Kumbe tatizo nyota ndomaana sipati wa kuendana nae kimapenzi
Watu wenye nyota hii wanakuwa ni watu wenye aibu sana kwa wapenzi wao lakini aibu ikishawaondoka huwa ni wapenzi wa kutisha, kwa maana ya kwamba...
Thread by: kihuba, Oct 16, 2017, 16 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Thread
Wanaotafuta wachumba mtandaoni sio kwasababu hawana vigezo
Habari yenu wana jf Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nafurai kukamilisha kutafiti wangu Kwa jf kuna tabia inayojitokeza eti ukitoa tangazo la kutafuta mchumba...
Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 9 replies, in forum: Love Connect
Thread
Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi
: •Sex; yaani Ngono; Sex inapokua mapema ni kama kulisha kuku wa kisasa. Inafanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye...
Thread by: kihuba, Sep 18, 2017, 85 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Thread
Ninahamu ya kuwa na mchumba sana sana
Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu, Natafuta mume' Mkristo na umri wake 29-40. Awe maji ya kunde au mweupe. NB: Mwenye sifa tuma picha...
Thread by: kihuba, Sep 12, 2017, 76 replies, in forum: Love Connect
Thread
Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?
Wana JF, Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa. Nimechoka sasa wacha nitulie tu...
Thread by: kihuba, Sep 5, 2017, 171 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Thread
Nafurahaa ya dhati kupata mwanaume mashine na mwenye mapenzi ya dhati
Habari zenu wana jf wakuu Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani...
Thread by: kihuba, Sep 4, 2017, 109 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Thread
Bora kuwa malaya tu
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Thread by: kihuba, Aug 31, 2017, 216 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Thread
Natafuta mwanaume wa kuniliwaza basi
Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha...
Thread by: kihuba, Aug 22, 2017, 110 replies, in forum: Love Connect
Thread
Bado nasaka mchumba
Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
Thread by: kihuba, Aug 16, 2017, 14 replies, in forum: Love Connect
Thread
Mwanaume anaehitaji mke karibu
Habari zenu wanachama wa JF, Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote...
Thread by: kihuba, Aug 14, 2017, 161 replies, in forum: Love Connect
Thread
Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na sitaki...
Thread by: kihuba, Aug 11, 2017, 249 replies, in forum: Love Connect
Thread
Natafuta mchumba, Mungu akitujalia ndoa
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote...
Thread by: kihuba, Jul 30, 2017, 474 replies, in forum: Love Connect