Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
VigeZo vyote nimetimiza kasoro cha urefu tu...mim ni mrefu mno
Wewe ni dume, bisha
Jamaa.ana miaka mi 3 anatafuta tu
 
Habari zenu wana jf wakuu
Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani yote mapito.

Imani yangu ilikua ntapata mume tu tena wa kundena na mimi nashukuru mungu katenda maajabu yani napendwa mpaka basi nashukuru Adamu mwanaume wangu wa pekeeekee mwenye mapenzi kama umetoka binguni

Naongea mbele ya wana jf nakupenda Adam ntakulinda daima na ntakuzalia kama zawadi yako

NISI ZUNGUMZEE SANA cha msingi msikateeee tamaa japo nimepitia magumu mengi na kufanikiwaa

Nafuraia penzi lako mume wangu ADAM

kumbe jf kuna wanaume wakweli mnao tafuta msife moyo

C&P kutoka kwa kihuba

Umecopy na kupaste kutoka kwa kihuba ama ni wewe huyo kihuba
 
Unalo lingine la kusema?
Huyu dada kaanzia mbali sana.
Na c ajabu anaweza kuwa asiyr julikana!!
 
Ungeweka tu hiyo link ulivyotuquote

Kuanza mbali sio big deal hata wewe uwezo wa kuanza mbali unao
 
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
We fundi wa masiara utaiweza ndoa. Maana ndoa haitaji masiara. Kila la kheri lakini katika mawindo yako.
 
Habari zenu wana jf wakuu
Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani yote mapito.

Imani yangu ilikua ntapata mume tu tena wa kundena na mimi nashukuru mungu katenda maajabu yani napendwa mpaka basi nashukuru Adamu mwanaume wangu wa pekeeekee mwenye mapenzi kama umetoka binguni

Naongea mbele ya wana jf nakupenda Adam ntakulinda daima na ntakuzalia kama zawadi yako

NISI ZUNGUMZEE SANA cha msingi msikateeee tamaa japo nimepitia magumu mengi na kufanikiwaa

Nafuraia penzi lako mume wangu ADAM

kumbe jf kuna wanaume wakweli mnao tafuta msife moyo

C&P kutoka kwa kihuba

Mrejesho huu ungetupia na kapicha ungependeza kweli [emoji3]
 
Bikra ipo
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
 
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
Weka picha ndio tuje PM,utaanzaje kupropose kununua kitu hukijui wala hujawahi kukiona??,"NDIO YALE YA KUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA UNAKUTA NI KONDOO"
 
Ah Jisemee mwenyewe!!
Mbona wengine hawajalalamika?
Ungeweka tu hiyo link ulivyotuquote

Kuanza mbali sio big deal hata wewe uwezo wa kuanza mbali unao
Cm yangu mkono n wangu
Nauwezo wa ku quote watu wote na hakuna wa kunizuia
 
nakuombea kwa Mungu akupe hitaji la moyo wako....ila nadhani huku mitandaoni sio sehemu sahihi.....ina maana mtaa unaoishi hakuna wanaume...? yani kuja kuwazalilisha wanaume wa mtaani kwenu...?
 
Boss we si una mke yule mwenye miaka 19?
Cc Marianah

Mkuu mimi sina sifa tajwa hapo juu. Hasa sifa ya Umri. Nimemuita PM kwa makusudi ya kuona kama tutasaidiana vipi. Yeye anakuja na habari ya kumkosa. Mimi sijawahi kosa nikitakacho(Sio kwa umuhimu).

Nina kaka zangu kadhaa nao wanatafuta Wake. Kaka yangu mmoja yupo NSSF anamtoto mmoja. Anahangaika kutafuta Mke huu mwaka wa Pili.

Mwanamke aliyezaa naye ni moja ya waandishi wa habari katika moja ya Chombo kikubwa cha habari. Wameachana.

Kaka yangu wa pili ni Mwalimu. Yupo Dsm. Naye anatafuta mke. Anamtoto mmoja ambaye ninaishi naye hapa na Mke wangu.

Nina mabraza wengi. Sasa mtu unamwambia njoo Pm tujue tunasaidiana vipi kwani huwezijua Mipango ya Mungu. lakini anadhani kila anayeenda PM ni mhuni mhuni tuu.
 
Mkuu niunganishie kaka yako mmoja kama hao kaka zako wako tofauti na wewe
 
Me nilikosa sifa kwenye kabila leo tena nimekosea sifa kwenye rangi. Mimi ni mweupe haswaaa
 
Back
Top Bottom