Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo.
Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa mabalozi wote wa EU na US pamoja na media zote za kimataifa kuishitaki serikali, ikose misaada na wazuiwe kusafiri"
Nataka niwafundishe hata hao mabwanyenye wakifanya utafiti wakigundua hamna ushawishi kwa wananchi walio wengi watawapuuza.
Hili la kukosa watu ni matokeo ya tamaa ya fedha mlioonyesha kwenye siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 na kuendelea.