Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Mnaandikaga huku mnakunya au, nadhan uko kazini weweNdugu zangu,
Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo.
Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa mabalozi wote wa EU na US pamoja na media zote za kimataifa kuishitaki serikali, ikose misaada na wazuiwe kusafiri"
Nataka niwafundishe hata hao mabwanyenye wakifanya utafiti wakigundua hamna ushawishi kwa wananchi walio wengi watawapuuza.
Hili la kukosa watu ni matokeo ya tamaa ya fedha mlioonyesha kwenye siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 na kuendelea.
Tulipumzika na hizi post za kipuuzi puuzi mmerudi tena
Hebu nieleweshe hapa kwenye Mabeberu kusaidia Tanzania (Tanganyika) kua huru.Acha hoja zisizo na mashiko. Uhuru wetu ulitokana na usaidizi wa mnaowaita mabeberu. Sio watu wote ni wajinga utawadanganye
Uhuru wetu haujatokana na usaidizi wa mabeberu! Usipotoshe. Nafikiri hujui maana ya mabeberu. Ni kama, ukiibiwa mali zako baadae ukazipigania na ukazipata, huwezi kusema unawashukuru wezi - maana wamekusaidia kupata mali zako.Acha hoja zisizo na mashiko. Uhuru wetu ulitokana na usaidizi wa mnaowaita mabeberu. Sio watu wote ni wajinga utawadanganye
Hahaha, Wakudadavuwa ukikomalia kitu sidhani hata kama huwa unalala, umeamka tu kitu cha kwanza CDM. Jamaa yako Barbarosa yupo wapi siku hizi? Haonekani jamvini
Ni hivi kwa taarifa yako:Ndugu zangu,
Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo.
Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa mabalozi wote wa EU na US pamoja na media zote za kimataifa kuishitaki serikali, ikose misaada na wazuiwe kusafiri"
Nataka niwafundishe hata hao mabwanyenye wakifanya utafiti wakigundua hamna ushawishi kwa wananchi walio wengi watawapuuza.
Hili la kukosa watu ni matokeo ya tamaa ya fedha mlioonyesha kwenye siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 na kuendelea.
Raisi kvp kamfunga mboye mbona mna mzingizia Samia watuNi hivi kwa taarifa yako:
1. Kitendo cha Samia kumfunga Mbowe kimezidisha uamsho wa watanzania kuipenda Chadema na Mbowe.
2. Samia alikuwa ameanza kujijengea heshima kubwa na kukubalika kwa watanzania wengi, sasa amenyea kambi kwa kumfunga Mbowe maana wanaona ni kuwa ameonewa hawezi kuwa gaidi
3. Ukitaka kuona kuwa chadema inakubalika, itisha uchaguzi huru na haki tumalize ubishi.
4 Mwisho: Mapenzi kuwa nayo kwa uwpendao including CCM lkn usiwe lofa hata kwa vitu ambavyo viko wazi.
Vipi Samia amekusahau?
Una haki ya kuelewa kama unavyoelewaRaisi kvp kamfunga mboye mbona mna mzingizia Samia watu
Mwambie a some CV kwa huyo anayejipendekeza atagundua kitu muhimu sanaNi hivi kwa taarifa yako:
1. Kitendo cha Samia kumfunga Mbowe kimezidisha uamsho wa watanzania kuipenda Chadema na Mbowe.
2. Samia alikuwa ameanza kujijengea heshima kubwa na kukubalika kwa watanzania wengi, sasa amenyea kambi kwa kumfunga Mbowe maana wanaona ni kuwa ameonewa hawezi kuwa gaidi
3. Ukitaka kuona kuwa chadema inakubalika, itisha uchaguzi huru na haki tumalize ubishi.
4 Mwisho: Mapenzi kuwa nayo kwa uwpendao including CCM lkn usiwe lofa hata kwa vitu ambavyo viko wazi.
Vipi Samia amekusahau?
Ndugu zangu,
Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo.
Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa mabalozi wote wa EU na US pamoja na media zote za kimataifa kuishitaki serikali, ikose misaada na wazuiwe kusafiri"
Nataka niwafundishe hata hao mabwanyenye wakifanya utafiti wakigundua hamna ushawishi kwa wananchi walio wengi watawapuuza.
Hili la kukosa watu ni matokeo ya tamaa ya fedha mlioonyesha kwenye siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 na kuendelea.
Ni hivi kwa taarifa yako:
1. Kitendo cha Samia kumfunga Mbowe kimezidisha uamsho wa watanzania kuipenda Chadema na Mbowe.
2. Samia alikuwa ameanza kujijengea heshima kubwa na kukubalika kwa watanzania wengi, sasa amenyea kambi kwa kumfunga Mbowe maana wanaona ni kuwa ameonewa hawezi kuwa gaidi
3. Ukitaka kuona kuwa chadema inakubalika, itisha uchaguzi huru na haki tumalize ubishi.
4 Mwisho: Mapenzi kuwa nayo kwa uwpendao including CCM lkn usiwe lofa hata kwa vitu ambavyo viko wazi.
Vipi Samia amekusahau?
Hivi wewe mzee mwenzangu bado uko kwenye siasa tuu? Staafu utafute kitu kingine cha kufanya.....Maisha yanakwenda hivo....
Ni ushauri tuu...
Una haki ya kuelewa kama unavyoelewa
bavicha mnajulikana tu,hiz post lazma ziwakereTulipumzika na hizi post za kipuuzi puuzi mmerudi tena