Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Kwani ni kweli au ni uongo?Mjini kila demu mzuri utasikia eti ana ngoma
Cheki alivyoshikwa shikwa kiuno.Mwanadada Jokate Mwegelo kutoka Tanzania amekutana na Nguli wa Soka Thierry Henry ambae ni Mchezaji wa Zamani wa Arsenal. Wawili hao wamekutana nchini Afrika Kusini katika NBA African Game 2017.
____________________________
Jokate ambaye ni Balozi wa NBA kwa upande wa Afrika amehudhulia Mashindano hayo yaliyokutanisha timu za NBA kwa Wachezaji wenye asili ya Afrika Pamoja na Wale wenye Asili ya Mataifa Mengine.
-Ndumilakuwili-
Wanaosambaz hizo habari ni wale sizitaki mbichi hizi kumbe anazitaka ila kuzipata haweziMjini kila demu mzuri utasikia eti ana ngoma
Wanapenda sana kuwachafua wenzao bila ushahidiWanaosambaz hizo habari ni wale sizitaki mbichi hizi kumbe anazitaka ila kuzipata hawezi
Ni uongo na kuchafua watu tuKwani ni kweli au ni uongo?
Kwanini ni uongo?Ni uongo na kuchafua watu tu
Kama huijui sayansi hauwenzi dhani kama mkojo una uhusiano na uchocheziOhooooo
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
Sms yako inafikirisha sana huyu dem kapigwa gegedoJoketi imekuwaje amepata mpaka muda wa kubadilisha nguo...au walikuwa chumbani?
Ongeza sauti tusikie wote.Good move fo sure....
Ila naskia huyo mdada ni Carrier wa kaugonjwa ketu kale....!!..