Baada ya kukutana na Beyonce na Jay Z, NBA yamkutanisha Jokate na Thierry Henry

Baada ya kukutana na Beyonce na Jay Z, NBA yamkutanisha Jokate na Thierry Henry

Picha ya kwanza naona kidari cha Jo kimenatana na kifua cha Chogo.

Picha ya pili mkono mmoja wa Jo kauzungusha kabisaa kwenye mstari wa Ikweta.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mwanadada Jokate Mwegelo kutoka Tanzania amekutana na Nguli wa Soka Thierry Henry ambae ni Mchezaji wa Zamani wa Arsenal. Wawili hao wamekutana nchini Afrika Kusini katika NBA African Game 2017.
____________________________
Jokate ambaye ni Balozi wa NBA kwa upande wa Afrika amehudhulia Mashindano hayo yaliyokutanisha timu za NBA kwa Wachezaji wenye asili ya Afrika Pamoja na Wale wenye Asili ya Mataifa Mengine.
14c01c4277e0e4a82ab4a5a044c4e9e9.jpg
b3aec565f44b455f81781ee90a9dea6d.jpg


-Ndumilakuwili-
Cheki alivyoshikwa shikwa kiuno.

Wanawake wetu wa kitanzania wanapenda sana kujirahisisha kwa mastaa yaani mpaka wanaboa.
 
Jokate inaelekea ajamvizia mpaka kapiga pichaa na nguo tofautii

sent from my iPhone 6
 
my dream girl.. kama ningekuwa vizuri..

in life fight to be a boss then date a boss.. hata watoto wenu watakuwa ma bosss..

ndio maana waarabu kina lake oil, home shopping wanaoana wao kwa wao kuondoa shida kuingua koo zao

demu juz alikwa usa anachejmk nba all star.. jana south africa.. baada ya wiki utamuona china ananunua kidoti stuffs.. yaani full bata na maujanja..
 
Kinacho nshangaza Joketi kabadilisha Nguo jamaa ana zilezile, Ngoja nipige Balimi kwanza za hapa Chato kisha nakuja kutos maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom