Baada ya kuliona Kundi letu F la Kufuzu AFCON 2023 lilivyo, nashauri tujiandae zaidi na lile la 2025 kwani kwa hili hatutoboi ng'o

Acha chuki za hovyo wageni ligi nzima hata hamsini hawafiki huku wazawa wapo zaidi ya mia tano halafu unalalamikia Simba na Yanga wangekuwa na viwango hao wazawa wako timu zao zingefanya vizuri kwenye ligi
Wameandaliwa kuweza kucompete na hao wa nje? Sie tunawatamani hao wakigeni kwa sababu kwenye nchi zao wanaandaliwa vizuri
 
Kujua kusoma na kuandika siyo kipimo cha kuwa na akili. Mazuzu wengi tu wanajua kusoma na kuandika.
 
POPOMA ka POPOMA !!!
 
Mamaee ahaaaaa
 
Li zezeta limepigwa za uso, majitu yenye mdomo mrefu kama chuchunge huwa yanapataga fedheha kwenye kila jambo yanayolipanga.
 
Mwandiko ni ule ule wa mwandishi huyo huyo akitumia ID nyingine!! Huyu ni genta-nani vile? Ana uwezo wa kubadili ID lakini hana uwezo wa kubadili ladha na aina ya uandishi wake!!
 
Ikawaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…