Baada ya kuliona Kundi letu F la Kufuzu AFCON 2023 lilivyo, nashauri tujiandae zaidi na lile la 2025 kwani kwa hili hatutoboi ng'o

Baada ya kuliona Kundi letu F la Kufuzu AFCON 2023 lilivyo, nashauri tujiandae zaidi na lile la 2025 kwani kwa hili hatutoboi ng'o

Kila siku tunafundishwa kuwa na akiba ya maneno. Ona sasa mnavyoumbuka!
 

Attachments

  • Screenshot_20230825_182315_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20230825_182315_WhatsAppBusiness.jpg
    82.1 KB · Views: 3
Kiko wapi....
Yaani Tanzania hii ya Mabeki wabovu akina Dickson Job na Bakari Nondo Mwamnyeto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger?

Yaani Tanzania hii ya Kiungo mbovu na Mrembua Macho muda wote Feisal Salum Fei Toto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger?

Yaani Tanzania hii yenye Wachezaji wabovu kama akina Farid Mussa, Zawadi Mauya na Kibwana Shomary ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger?

Tanzania itashinda tu ( na hata kuwa Bingwa wa AFCON 2023 ) kama tu Wachezaji 12 Wazawa wa Simba SC wataitwa kwani kwa Experience na Exposure Kubwa waliyonayo nina uhakika wa 100% kuwa Tanzania ( Taifa Stars ) itakuwa Bingwa kama ambavyo Simba SC nayo inaenda kuwa Bingwa wa CAFCC baadae mwaka huu wa 2022.
Dah .. haya bana
 
Back
Top Bottom