Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Kongole kwake aendelee kuwabamiza kweli kweliHongera kwa Mtanzania mwenzetu
☑️☑️☑️ Kabisa ili taifa letu lipate kujulikanaKongole kwake aendelee kuwabamiza kweli kweli
Bongo haters kibao na wanachambua hata vitu wasivyo na elimu navyo
Mwakinyo is aiming for gold chief watu wanakufa chief halafu upigane eti ili tujue Nan mbabeHata akiwa namba 1 kiduku anamtaka aache janja janja
Kiduku hana hadhi ya kupambana na Mwakinyo kwa sasa yeye apigane na wavuta bange wenzake kwenye Ndondo za ngumi wakigombea vitoroli vya kuchukulia vicheche uswazi, Mwakinyo yuko level ya juu saaana kwa huyo mkata kimeo wenuHata akiwa namba 1 kiduku anamtaka aache janja janja
Mwakinyo hana muda wa kupigana na wabeba matofali!Hata akiwa namba 1 kiduku anamtaka aache janja janja
Hata akiwa namba 1 kiduku anamtaka aache janja janja
Tutamkamata tumlete kwa nguvu ulingoni azichape na Kiduku asilete janja janjaHata akiwa namba 1 kiduku anamtaka aache janja janja
Yes kama Ikiwezekana siku moja hata kushindania WBC na WBO acha kuchukua kufikia level tu za kugombania tuheshimiwe na sisiIfikie hatua mwakinyo... apate heshima yake, WaTz tunataka rank sio crown!
Nobody knows and nobody update about kiduku rank the only thing we know about him is winning a ToyotaKiduku yeye ana rank namba ngapi katika huo uzito?
Champez!! ⭐️ one time, na siasa za boxing Mwakinyo anazijua haswa na anajua kujenga brand yake na kuilinda piawakati anahojiwa alisema "watanzania ruksa... tukutane mitandaoni" alijua
ila lazima WATANZANIA tujue kwamba boxing sio netball... maboxer wanatengenezwa na boxing ina siasa zake.
njia anayopita MWAKINYO ni njia sahihi kwenye siasa za boxing nyie pigeni kelele na DULA TU.
Apige na Kiduku hata pambano la kirafiki....kimyakimya tumjue bongwa halisi wa ndondi TZ