Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

Sasa atafute mapambano nje ya nchi tuone akipigana kwa majaji wasio wa nyumbani hali itakuwaje, atafute na mabondia wenye viwango na umri wao usiwe umeenda sana.

Sasa atafute mapambano nje ya nchi tuone akipigana kwa majaji wasio wa nyumbani hali itakuwaje, atafute na mabondia wenye viwango na umri wao usiwe umeenda sana.
We ushawahi kuona Mayweather akipigana nje ya Marekani?!
 
Kama anakataa kupigana na walio chini yake hata yeye asingeweza kupata pambano la kupigana na walio juu yake maana kama wangekuwa na mawazo kama yake wasingekuwa wanakubali kukipiga naye...
Kwani aliejuu ya Kiduku ni Mwakinyo peke yake?!
 
Yes kama Ikiwezekana siku moja hata kushindania WBC na WBO acha kuchukua kufikia level tu za kugombania tuheshimiwe na sisi
Unajua huu mchezo wa ngumi sheria zake zinachanganya sana zinavyosimamiwa.
Ili afike hiyo WBC inabidi ashike namba ngapi?
Na kingine kinachonichanganya kwenye huu mchezo ni kuwa nasikia mwakinyo huwa anaandaa mwenyewe pambano na sponsor wake kisha wanamchagua bondia wanayemtaka,ina maana kwenye huu mchezo hakuna shirikisho linaloratibu hizo mechi kama ilivyo kwenye football CAF,CECAFA,FIFA?
 
Kama anakataa kupigana na walio chini yake hata yeye asingeweza kupata pambano la kupigana na walio juu yake maana kama wangekuwa na mawazo kama yake wasingekuwa wanakubali kukipiga naye...
Ina mantiki I support you.
 
Hizo ndo ranks sasa, sio mnataka acheze sijui na nani wenu huyo
 
Back
Top Bottom