Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Kuna wanawake bila ya kumnasa kibao atamtukana hadi mama yako
Huyo Joyce Kiria ni zaidi ya Mmachame kwa Ukatili na Kiburi.
ndo hivo mtukome, asubuhi nimempa mwanaume tik tak za kufa mtu kaondoka hadi sasa sijamuona, akirudi lazima atajuta kuwa na mimi,
nshapiga toti mbili nataka niagize bapa akili ikae sawa ,nyie subirini hapo ntawapa mrejesho
 
Si arudi kwenye kazi yake ya zamani ya u - house girl kama ananyanyasika? Tangu zamani anataka kumtawala mumewe, lkn huku Afrika mfumo huo haupo. Mjinga sana huyu mwanamke yaani kila mtu akiamua Ku - share matatizo na ulimwengu wote kutakuwa na amani kweli duniani?

# Salum Mwalim - Kinondoni 2020.
 
ndo hivo mtukome, asubuhi nimempa mwanaume tik tak za kufa mtu kaondoka hadi sasa sijamuona, akirudi lazima atajuta kuwa na mimi,
nshapiga toti mbili nataka niagize bapa akili ikae sawa ,nyie subirini hapo ntawapa mrejesho
Umlekodi atakavokuwa anaomba msamaha af uturushie hiyo audio clip ili umsapoti mwenzio Joyce, hapo mi ndo ntakoma! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
 
Mwambieni naye hatutaki kumsikia analialia mitandaoni...eti sharing with my world...we are not her world...
Apambane na hali yake.
 
Anataka huruma. Hataki ushauri.

Na wabongo ni mabinhwa wa kutoa ushauri sehemu ambayo hawajaalikwa kutoa ushauri.

Ingawa ku post mtandaoni unapigwa na mumeo ni aina fulani ya kualika ushauri.
 
kwa wale wanaume ambao huwa wanahudumia familia watashangaa, na wanawake wanao hudumiwa watashangaaa ila liko kundi kubwa la joyce kama mimi hapa, nimehangaika na mwanaume namlisha namvika yani kilakitu mimi, badae nikaona kama labda kipato chake kidogo hawezi kunihudumia nikampeleka shule amesoma kozi nzuri ya afya ambayo anaweza kufanya kazi hata private nimelipa ada miaka 3 nimeishi kwa kujibana sana na mwanangu kila mwezi namtumia matumizi na ada maana alisoma private chaajabu amemaliza chuo hataki kufanya kazi anataka niendelee kumlisha cha kushangaza niliuza kiwanja ili kusapot mambo ya ada na matumizi akiwa mwaka wamwisho yule mnunuaji akatoa hela nikamtumia ametumia zimeisha na shule kamaliza kuja waandikishane akakataa eti hiyo hela hajafanyia kitu hajanunua viatu, suti, na vitu vizuri sasa ili kuondoa lawama nikaenda vikoba nikakopa hela milioni moja nikampatia ndo akaandikishana ,hapo hakunipa hata senti moja na zimeisha yani nina hasira kuliko za joyce niko najipanga kumfungulia mashtaka ya kudai talaka simtaki, kibaya zaidi muhuni , mchoyo, muongo, mwizi. akikuta cmu hapo anapitia, hela anapitia afu mlokole anajiita mtumishi wa bawana , unashangaa hata akipata kidogo utasikia tu ah fulan alinisaidiaga alinipa hela kiasi fulan lkn mimi hajawahi nipa sioni umuhimu wake nimeona nipige chini. humu jamii forum niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma hakuna hata alonijibu vya maana
 
Hawa wabeijing kuanika nyumba zao wanaonaga ni sawa kabisa,
 
Hayo ndio madhara ya kumpiga mwanamke kitoz tozi,mwanamke anapigwa kwa style mbili

1.kelbu moja matata sana afu unawah kumbembeleza ,onyo ukimpiga kidogo hawachelewi kurudishia hawa hasa kizazi cha WhatsApp.
2.ukiona kelbi kazoea basi sasa unatakiwa kutoa dozi nzuri kwa umakini Mkubwa sana ili usimvunje popote na wala kuharibu sura kwa kuchanika,damu kuvilia ruksa,baada ya kipigo hicho ananyooka kwenu au safar itaanzia hospital ,hicho kipigo hakisimuliki hovyo hovyo

Nb ;kuna course fupi ya kumpiga wanawake kwa umakini wa hali juu.just pm me
 
ndo hivo mtukome, asubuhi nimempa mwanaume tik tak za kufa mtu kaondoka hadi sasa sijamuona, akirudi lazima atajuta kuwa na mimi,
nshapiga toti mbili nataka niagize bapa akili ikae sawa ,nyie subirini hapo ntawapa mrejesho
Sasa kama ulimpa huyo Mume wako tiktak sisi tukukome kwa vipi?

Na tiktak zako na Mumeo zinatuhusuje sisi?
 
Wait a minute..kwanza atuambie kilichovunja ndoa yake ya kwanza ya kanisani na DJ Nelly wa Clouds ni nini.Kisha tuendelee kuchangia
 
Ntakutumia namba ya my Mr. umfundishe jinsi ya kunipiga na wivu wake ule....maana si kwa mingumi nazibuliwa usoni ( usoni anapenda sana ili aniharibu reception nisitongozwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
 
yan sisi wamachame ndo mtukome, sisi wanawake ni zaidi ya wanaunme
Sasa kama ulimpa huyo Mume wako tiktak sisi tukukome kwa vipi?

Na tiktak zako na Mumeo zinatuhusuje sisi?
 
Nasubir kauli moja tu kwamba kanunuliwa Na CCM huyu dada ili aje kumuaibisha kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…