bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Kuna wanawake bila ya kumnasa kibao atamtukana hadi mama yako
ndo hivo mtukome, asubuhi nimempa mwanaume tik tak za kufa mtu kaondoka hadi sasa sijamuona, akirudi lazima atajuta kuwa na mimi,Huyo Joyce Kiria ni zaidi ya Mmachame kwa Ukatili na Kiburi.
nshapiga toti mbili nataka niagize bapa akili ikae sawa ,nyie subirini hapo ntawapa mrejesho