mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mkuu naondoa hilo neno la kwenye mabanoInawezekana kabisa ni mpuuzi( samahani kwa ilo)
Hahaaaaaaaaaaa aiseee yaani nimemshusha kabisa thamaniMkuu naondoa hilo neno la kwenye mabano
Umeelezea kama vile wewe ndio mume, unaongelea maisha yao ya ndani kabisa. Hebu sema vizuri basi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tehe tehe tehe mwambie aende Insta akaone alivyopewa za uso na ma Bibi harusiWewe una ndoa una nini? Huna hata robo ya maisha yangu
Sijawahi mwelewa akifanyacho kabisa. Lengo kuu la maisha ni watu kuishi kwa kuvumiliana. Yeye huwashauri wenzie watengane ilhali yeye hamwachi mwandani wake pamoja na kipigo. Anatafuta umaarufu kupitia matatizo ya wenzie! Shameless idiot woman. Huyu atakuwa wakala wa shetani tu.Hahaaaaaaaaaaa aiseee yaani nimemshusha kabisa thamani
Duuuh pole, alikuwa mpenzi au mumekwa wale wanaume ambao huwa wanahudumia familia watashangaa, na wanawake wanao hudumiwa watashangaaa ila liko kundi kubwa la joyce kama mimi hapa, nimehangaika na mwanaume namlisha namvika yani kilakitu mimi, badae nikaona kama labda kipato chake kidogo hawezi kunihudumia nikampeleka shule amesoma kozi nzuri ya afya ambayo anaweza kufanya kazi hata private nimelipa ada miaka 3 nimeishi kwa kujibana sana na mwanangu kila mwezi namtumia matumizi na ada maana alisoma private chaajabu amemaliza chuo hataki kufanya kazi anataka niendelee kumlisha cha kushangaza niliuza kiwanja ili kusapot mambo ya ada na matumizi akiwa mwaka wamwisho yule mnunuaji akatoa hela nikamtumia ametumia zimeisha na shule kamaliza kuja waandikishane akakataa eti hiyo hela hajafanyia kitu hajanunua viatu, suti, na vitu vizuri sasa ili kuondoa lawama nikaenda vikoba nikakopa hela milioni moja nikampatia ndo akaandikishana ,hapo hakunipa hata senti moja na zimeisha yani nina hasira kuliko za joyce niko najipanga kumfungulia mashtaka ya kudai talaka simtaki, kibaya zaidi muhuni , mchoyo, muongo, mwizi. akikuta cmu hapo anapitia, hela anapitia afu mlokole anajiita mtumishi wa bawana , unashangaa hata akipata kidogo utasikia tu ah fulan alinisaidiaga alinipa hela kiasi fulan lkn mimi hajawahi nipa sioni umuhimu wake nimeona nipige chini. humu jamii forum niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma hakuna hata alonijibu vya maana
Kweli ilo nimeliona mkuuSijawahi mwelewa akifanyacho kabisa. Lengo kuu la maisha ni watu kuishi kwa kuvumiliana. Yeye huwashauri wenzie watengane ilhali yeye hamwachi mwandani wake pamoja na kipigo. Anatafuta umaarufu kupitia matatizo ya wenzie! Shameless idiot woman. Huyu atakuwa wakala wa shetani tu.
Basi tiba kapata ,saizi utapokea kipigo kikali bila kuharibika usoni wala kuvunjika popote .nipe no yake pm ,nakuahidi hatojutia muda na pesa yake. Mwanamke sura banaNtakutumia namba ya my Mr. umfundishe jinsi ya kunipiga na wivu wake ule....maana si kwa mingumi nazibuliwa usoni ( usoni anapenda sana ili aniharibu reception nisitongozwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
mme wa ndoa ya kanisaniDuuuh pole, alikuwa mpenzi au mume
Salum Mwalimu ni 2020 au 2018??Si arudi kwenye kazi yake ya zamani ya u - house girl kama ananyanyasika? Tangu zamani anataka kumtawala mumewe, lkn huku Afrika mfumo huo haupo. Mjinga sana huyu mwanamke yaani kila mtu akiamua Ku - share matatizo na ulimwengu wote kutakuwa na amani kweli duniani?
# Salum Mwalim - Kinondoni 2020.
Mbwembwe na harakati zote hizo si wangejenga chumba na sebule. Afanye harakati kote lakini asahau kupata NDOA bora hapa Duniani. Kila wanandoa wana yao huko ndani ila wanavumiliana
Kwa wanaomfahamu vema J hawaumizi kichwaBaada ya Kupost Video yake Kwenye mtandao wa Kijamii Instagram , kulalamika anapigwa na mumewe wakati yeye Ndio anasimamia kila kitu ndani ya nyumba mpaka kodi ya nyumba wanayoishi analipa yeye.
Wadau mbalimbali waliotoa mtazamo wao kwa alichokifanya Ila mwanaharakati huyu wa wanawake alisema Hataki ushaur wa namna yoyote ile.
Nb
**Kama hawa Ndio mfano wa aina ya wanaharakati tulionao wanawake, Basi wanawake tunasafari ndefu Sana.
View attachment 681349
Mwanamke inabidi uwe wa kwanza kujua Hali ya Kipato cha mumeo na uweze kuish kulingana na wakati Unajua Kabisa Hali ya mume wako ni tete Unakubali Kuish Vipi kwenye nyumba ya gharama kubwa, na Kama basi unauwezo WA kulipa basi usilalamike .
Hili ni tatizo la wanawake wengi hasa Kizazi cha Sasa,mwanaume uwezo wake kupanga chumba na varanda, yeye atataka nyumba nzima, akidai atalipa mambo yakimuwia magumu anaaza kulalama. Acha ya mkute.
Ingekuwa mwingine hapo ungemsikia ooh nishawasiliana na mama Kijo(chakula kwa kipare) bishimba tutampleleka kwenye dawati la haki. Puuumba kabisa huyu. Hizi ndoa kutafuta umaarufu daima huwatokea puani.Kweli ilo nimeliona mkuu