Erica mwaisumo
Senior Member
- Mar 6, 2015
- 151
- 150
Ukileta usuper star wako kwenye ndoa,lazima ikushinde.
Tunaweza tukaangalia upande wa huyu dada je,upande wa mwanaume kuna nini ndani yake? Mda mwingine wanawake tunapenda kulalamika wakati huo wewe husimami kwenye nafasi yako.unataka na wewe uonyeshe kuwa uko juu ya mwanaume coz unaweza kila kitu
Wanawake tubadilike jamani,tusimame kama mke na mama pia.