Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Ukileta usuper star wako kwenye ndoa,lazima ikushinde.
Tunaweza tukaangalia upande wa huyu dada je,upande wa mwanaume kuna nini ndani yake? Mda mwingine wanawake tunapenda kulalamika wakati huo wewe husimami kwenye nafasi yako.unataka na wewe uonyeshe kuwa uko juu ya mwanaume coz unaweza kila kitu
Wanawake tubadilike jamani,tusimame kama mke na mama pia.
 
Hana akili, hana adabu, na hakuwahi kumpenda mumewe alipenda pesa tu za mumewe pengine na umaarufu wa mumewe. Kileo ka upo humu tafadhali njoo nikulee
 
Historia inaonyesha alishindwa ndoa ya kwanza...lets hope she will not drop the ball
 
Kosa kubwa alilolifanya huyu mwanamkelive ni kumdharau mumewe na kumuanika mtandaoni..sidhani kama kuna mtu ambaye hana nyongo..ilikua lazima le kamandaz ampe nakoz ana bahat hajamuaribu reception hahaa
 
Mke hapigigwi ngumi...anapigigwa kwa note za pesa....mama njoo kwangu ufahi maisha... Japo umri umenizidi ila.... Nitavumilia tu...kwan nitakuwa sijanza Mimi.
 
Mange Kimambi ameshangazwa na hali ya Kiuchumi ya makamanda na kuhoji kwa nini makamanda wanaojitoa kwa moyo wote hawathaminiwi kwa kulipwa mishahara.
Mange ametoa rai hiyo kufuatia hali mbaya ya KIFEDHA inayowasumbua makamanda wengi akiwemo HENRY KILEWO ambaye mke wake JOYCE KIRIA (Mwanaharakati wa haki za wanawake) amelalamika kuhusu ukata unavyoisumbua familia huku majukumu muhimu kama ada na chakula yakitimizwa na Joyce bila msaada wa KILEWO. Baadhi ya majirani wa HENRY KILEWO wamepata mashaka kuwa iwapo KILEWO atapata ubunge Mwanga 2020 iwapo atawahudumia wananchi au tumbo lake.
Watu wa ndani wamegusia kuwa hali tete Kiuchumi pia imemkumba Yerico Nyerere ambae siku za karibuni amekuwa akiuza vitabu ili kuweza kujikimu.
Hali tete Kiuchumi kutokana na kutothaminiwa kwa makamanda kumepelekea baadhi ya makamanda kujiona kama makarai na kuamua kuacha siasa au kuhamia vyama vingine.
MANGE KIMAMBI ameitaka CHADEMA kuwaingiza kwenye Payroll makamanda na kuacha kuwakatisha tamaa huku Watu wachache wakinufaika
watu wafanye kazi siasa iwe part time
mwisho mtasema cdm iwagawie hela wananchi
 
kama ameyaleta kwny dunia.basi asizuie wanadunia kusema yao.vinginevyo wangetulia nayo mwenyewe
 
Ndg Trump wewe akili zako haziko sawa, una mtindio wa ubongo na u cant think and reason properly.
1. Yeriko hauzi vitabu , anauza kitabu chake alichokitunga. Shida iko wapi? Owk tufanye Yeriko anauza vitabu au analima bamia, kosa liko wapi mtu kufanya kazi halali zinazomuingizia kipato? . Kwahiyo ukiwa kamanda hutakiwa kufanya kazi isipokuwa ulipwe na chama? Hizi ndizo akili za wana Lumumba
2. Kwani kamanda kileo anafanya kazi za chama 24/7/365? Kwani kajiriwa na chama? Kama kaajiriwa na chama mbona hatujasikia akilalamika halipwi? Kama hajaajiriwa na chama kwanini chama kimlipe? Chama kitalipa makamanda wote nchi nzima? Wewe CCM inakulipa sh ngapi?.
3. Kama kuna kamanda anataka kulipwa ahamie ccm huko ndiko wanalipwa, hili alilithibitisha ndg Patrobas Katambi kwamba cdm alikuwa anatumika kama karai hivyo ccm angetumika kama zege ( huko kuna malipo). Mwenye kutaka kwenda aende ila ukitaka maisha mazuri kwenye siasa kuwa na kazi zako za kufanya za kukuingizia malipo, hata mbowe bado ni mjasiriamali na ndiye mwenyekiti.
 
kwa wale wanaume ambao huwa wanahudumia familia watashangaa, na wanawake wanao hudumiwa watashangaaa ila liko kundi kubwa la joyce kama mimi hapa, nimehangaika na mwanaume namlisha namvika yani kilakitu mimi, badae nikaona kama labda kipato chake kidogo hawezi kunihudumia nikampeleka shule amesoma kozi nzuri ya afya ambayo anaweza kufanya kazi hata private nimelipa ada miaka 3 nimeishi kwa kujibana sana na mwanangu kila mwezi namtumia matumizi na ada maana alisoma private chaajabu amemaliza chuo hataki kufanya kazi anataka niendelee kumlisha cha kushangaza niliuza kiwanja ili kusapot mambo ya ada na matumizi akiwa mwaka wamwisho yule mnunuaji akatoa hela nikamtumia ametumia zimeisha na shule kamaliza kuja waandikishane akakataa eti hiyo hela hajafanyia kitu hajanunua viatu, suti, na vitu vizuri sasa ili kuondoa lawama nikaenda vikoba nikakopa hela milioni moja nikampatia ndo akaandikishana ,hapo hakunipa hata senti moja na zimeisha yani nina hasira kuliko za joyce niko najipanga kumfungulia mashtaka ya kudai talaka simtaki, kibaya zaidi muhuni , mchoyo, muongo, mwizi. akikuta cmu hapo anapitia, hela anapitia afu mlokole anajiita mtumishi wa bawana , unashangaa hata akipata kidogo utasikia tu ah fulan alinisaidiaga alinipa hela kiasi fulan lkn mimi hajawahi nipa sioni umuhimu wake nimeona nipige chini. humu jamii forum niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma hakuna hata alonijibu vya maana
Duh kuna vitu ukisimuliwa huwezi kuamini. Wewe ni mvumilivu sana. Pole sana.
 
Back
Top Bottom