Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Women are very complicated creatures. Kama ni Akili nyingi basi zitumie unapoishi na hawa Viumbe na hasa hasa hawa waumini wa 50/50.
 
Umeelezea kama vile wewe ndio mume, unaongelea maisha yao ya ndani kabisa. Hebu sema vizuri basi[emoji85] [emoji85] [emoji85]

espy bwana nimecheka kwa sauti.
Unajua watu wakiongelea ndoa unachukua ya kwako, ya rafiki yako, ya ndugu, ya Dada, ya kaka, kisha unaichambua inafanana na IPI kati ya hizo.

Kuna watu wanaishi km J wkt mume km K na nawaona tuu wanavyojikaza hapa mjini na wakiwa kwenye vigari vyao wamenuna km wana Carry ya Qms.
Mimi siyo K bwana kila naeleza ukweli
 
Hahaaaaaaaaaaa aiseee yaani nimemshusha kabisa thamani
Sijawahi mwelewa akifanyacho kabisa. Lengo kuu la maisha ni watu kuishi kwa kuvumiliana. Yeye huwashauri wenzie watengane ilhali yeye hamwachi mwandani wake pamoja na kipigo. Anatafuta umaarufu kupitia matatizo ya wenzie! Shameless idiot woman. Huyu atakuwa wakala wa shetani tu.
 
kwa wale wanaume ambao huwa wanahudumia familia watashangaa, na wanawake wanao hudumiwa watashangaaa ila liko kundi kubwa la joyce kama mimi hapa, nimehangaika na mwanaume namlisha namvika yani kilakitu mimi, badae nikaona kama labda kipato chake kidogo hawezi kunihudumia nikampeleka shule amesoma kozi nzuri ya afya ambayo anaweza kufanya kazi hata private nimelipa ada miaka 3 nimeishi kwa kujibana sana na mwanangu kila mwezi namtumia matumizi na ada maana alisoma private chaajabu amemaliza chuo hataki kufanya kazi anataka niendelee kumlisha cha kushangaza niliuza kiwanja ili kusapot mambo ya ada na matumizi akiwa mwaka wamwisho yule mnunuaji akatoa hela nikamtumia ametumia zimeisha na shule kamaliza kuja waandikishane akakataa eti hiyo hela hajafanyia kitu hajanunua viatu, suti, na vitu vizuri sasa ili kuondoa lawama nikaenda vikoba nikakopa hela milioni moja nikampatia ndo akaandikishana ,hapo hakunipa hata senti moja na zimeisha yani nina hasira kuliko za joyce niko najipanga kumfungulia mashtaka ya kudai talaka simtaki, kibaya zaidi muhuni , mchoyo, muongo, mwizi. akikuta cmu hapo anapitia, hela anapitia afu mlokole anajiita mtumishi wa bawana , unashangaa hata akipata kidogo utasikia tu ah fulan alinisaidiaga alinipa hela kiasi fulan lkn mimi hajawahi nipa sioni umuhimu wake nimeona nipige chini. humu jamii forum niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma hakuna hata alonijibu vya maana
Duuuh pole, alikuwa mpenzi au mume
 
Ntakutumia namba ya my Mr. umfundishe jinsi ya kunipiga na wivu wake ule....maana si kwa mingumi nazibuliwa usoni ( usoni anapenda sana ili aniharibu reception nisitongozwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Basi tiba kapata ,saizi utapokea kipigo kikali bila kuharibika usoni wala kuvunjika popote .nipe no yake pm ,nakuahidi hatojutia muda na pesa yake. Mwanamke sura bana
 
Si arudi kwenye kazi yake ya zamani ya u - house girl kama ananyanyasika? Tangu zamani anataka kumtawala mumewe, lkn huku Afrika mfumo huo haupo. Mjinga sana huyu mwanamke yaani kila mtu akiamua Ku - share matatizo na ulimwengu wote kutakuwa na amani kweli duniani?

# Salum Mwalim - Kinondoni 2020.
Salum Mwalimu ni 2020 au 2018??
 
Mbwembwe na harakati zote hizo si wangejenga chumba na sebule. Afanye harakati kote lakini asahau kupata NDOA bora hapa Duniani. Kila wanandoa wana yao huko ndani ila wanavumiliana

Hahahhahaa balaaa
 
Baada ya Kupost Video yake Kwenye mtandao wa Kijamii Instagram , kulalamika anapigwa na mumewe wakati yeye Ndio anasimamia kila kitu ndani ya nyumba mpaka kodi ya nyumba wanayoishi analipa yeye.

Wadau mbalimbali waliotoa mtazamo wao kwa alichokifanya Ila mwanaharakati huyu wa wanawake alisema Hataki ushaur wa namna yoyote ile.

Nb
**Kama hawa Ndio mfano wa aina ya wanaharakati tulionao wanawake, Basi wanawake tunasafari ndefu Sana.

View attachment 681349
Kwa wanaomfahamu vema J hawaumizi kichwa
 
Ishi kwa mumeo ukiwa na ziada weka benki pesam
Mwanamke inabidi uwe wa kwanza kujua Hali ya Kipato cha mumeo na uweze kuish kulingana na wakati Unajua Kabisa Hali ya mume wako ni tete Unakubali Kuish Vipi kwenye nyumba ya gharama kubwa, na Kama basi unauwezo WA kulipa basi usilalamike .

Hili ni tatizo la wanawake wengi hasa Kizazi cha Sasa,mwanaume uwezo wake kupanga chumba na varanda, yeye atataka nyumba nzima, akidai atalipa mambo yakimuwia magumu anaaza kulalama. Acha ya mkute.
 
Huyo ndo mwanamke halisi, kosa lake tu ni kuweka hadharani. Kitu chochote akifanyacho mke au kabla ya mume hakiwezi mwacha salama mume. Adam kwa Eva ilikuwa ze semu
 
Back
Top Bottom