Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Mwache si naye ameingia field.maana wa muwahoji naona wamepungua so inabidi na yy acheze
 
Hee naona humu wengi wanafurahia mwanamke kupigwa. Uwe na mtoto Wa kike akue aolewe na yeye adundwe na Mume wake mtaona sawa? Yes ana matatizo yake ila mwanamme Wa kupiga hapana. Kwa huwa haachi anaomba Msamaha baadae anaendelea yaleyale. Mimi unidunde najua siwezi kupigana ila huko nje nakukodia watu na wewe wakudunde ujue maumivu ya kupiga.
 
Hakuna bingwa kwenye mapenzi,kila mtu na formula yake
 
hahahaaa ma yeye aone uchungu
 
Sasa kama hataki ushauri kwanini aliposti kwenye mitandao ya kijamiii?
Kumbe huyo ni katika wale machizi watatu kwenye kila watu wanne.
 
Kilewo amemvumilia sana huyu bi shostiii,,,kudundwa ilikua halali yake[emoji3]
 
Napinga sana kupigwa kwa mwanamke,ila kwa huyu natoa exemption tena aliempiga nae anahitaji kupigwa kwa sababu hakumpiga vizuri. Huyu alitakiwa awe MOI na vyuma kwenye taya na wala sio kwenye mitandao akijiliza.
 
Mange Kimambi ameshangazwa na hali ya Kiuchumi ya makamanda na kuhoji kwa nini makamanda wanaojitoa kwa moyo wote hawathaminiwi kwa kulipwa mishahara.

Mange ametoa rai hiyo kufuatia hali mbaya ya KIFEDHA inayowasumbua makamanda wengi akiwemo HENRY KILEWO ambaye mke wake JOYCE KIRIA (Mwanaharakati wa haki za wanawake) amelalamika kuhusu ukata unavyoisumbua familia huku majukumu muhimu kama ada na chakula yakitimizwa na Joyce bila msaada wa KILEWO.

Baadhi ya majirani wa HENRY KILEWO wamepata mashaka kuwa iwapo KILEWO atapata ubunge Mwanga 2020 iwapo atawahudumia wananchi au tumbo lake. Watu wa ndani wamegusia kuwa hali tete Kiuchumi pia imemkumba Yerico Nyerere ambae siku za karibuni amekuwa akiuza vitabu ili kuweza kujikimu.

Hali tete Kiuchumi kutokana na kutothaminiwa kwa makamanda kumepelekea baadhi ya makamanda kujiona kama makarai na kuamua kuacha siasa au kuhamia vyama vingine.
MANGE KIMAMBI ameitaka CHADEMA kuwaingiza kwenye Payroll makamanda na kuacha kuwakatisha tamaa huku Watu wachache wakinufaika.
 
pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…