Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

She is stubborn in nature,alimsema dj Nelly hivyo hivyo ,now anamsema tena mmewe wa sasa kuna kitu huyu dada kimepita pembeni
ukimuoa mwanamke mwanaharakati ni kazi sana kuishi nae, atakupeleka kiharakati
 
Mjirekebishe kwenye kujua kusimama kama wanaume. Sio kila kitu mfanyiwe ndani ya nyumba.
du!!!
iyo ni kodi tuu vp ngekua naendesha gari yako? naona ungemtafta salm kikeke kabisa

mi kwangu yf ndo ananunua chakula sikuzote lkn hajawai kuntangaza
M ela angu nafanyia mambo mangine kwa faida ya family

ni kawaida kwe ndoa mbona
 
Ni ngumu sana kuhimili vishindo vya Mke alieamua kujifyatua akili!
 
Kwa kweli MUNGU ATUPUNGUZIE HII ADHABU JUU YA HAWA VIUMBE......NA WATU WANADANDIA TU KWA MBELE HAYA MAMBO KWA KUWASIKILIZA WANAWAKE BILA KUSIKILIZA UPANDE WA PILI..TUNANYANYASIKA SANA MAMBO YAKIYUMBA KULIKO WATU WANAVYOFIKIRIA....
 
Daahh,kweli wanaume inabidi kutuliza akili sana kuchagua mwanamke wa kuoa.
Wanabadilika mzee wala usijidanganye....Ogopa mwanamke unayedhani/kumuona ni sahihi maana Huyo ndiye atakuliza maumivu yasiyo kwisha...Kwa sababu Utamuamini na hapo ndiyo kosa tunalofanya Wanaume...
 
Feminist na ndoa wapi ma wapi? Turning your fan base against your husband? Kwa akili hizi huyu mama alideserve kupigwa!
 
Sasa Joyce ulivyoenda kulia kwa public ndio kuondoa tatizo?

Sikubaliani na mwanaume anaepiga mwanamka hata siku moja! Ila njia uliotumia sio sahihi Joyce,
Haya Sasa mambo ya kodi ya nyumba kulipa wewe yanatuhusu nini kutuletea kwa media?

Joyce unamatatizo wewe wala sio mumeo,
Hivi Joyce unakumbuka ulivyokuwa unamdhalilisha DJ Nelly kwa kudai talaka public?
Hivi Joyce unakumbuka ulifanya part kwa kufanikiwa kupata talaka yako kutoka kwa DJ Nelly??
Sasa nataka nikukumbushe tu malipo yooote ya ubaya ni hapa hapa duniani, ila HUKUMU ndio kwa MUNGU!
"What goes arround ,comes arround"
 
Kuna kipindi huwa nasema ni Bora Instagram na Facebook zifungwe tu Bongo kama ilivyo nchi nyingine.
Imekua very easy kwa mtu kumdhalilisha mtu jinsi anavyojisikia, yale yale ya kina lemutuz.
Joyce acha Utoto, ww ni mwanamke, mama wa familia na Mama wa watoto wengi tu.

This isnt right at all
 
Hakuna mwanamke wa kichaga atakuvumilia pindi ukiishiwa pesa

Kwetu ukioa mchaga utafukuzwa naye maana mkifulia matatizo ukifanikiwa akuue achukue Mali so bora nn
 
Kupigwa hata mim ningekutangaza CNN but maswala ya financial pia sikutangazi naondoka kimya kimya utakaaje na MTU hana hela? Aise ni ngumu...mwanaume tafuta hela ndio sifa yako kubwa ukishindwa hilo kavae skert tuu
 
Hakuna mwanamke wa kichaga atakuvumilia pindi ukiishiwa pesa

Kwetu ukioa mchaga utafukuzwa naye maana mkifulia matatizo ukifanikiwa akuue achukue Mali so bora nn


Acha uqm
 
Anasikitisha sana...

Yeye kila kukicha ni kufunza wanawake wenzake adabu, ile yeye hana adabu...


cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…